Clab ya fc barcelona hapo jana iliitisha kikao cha dharula na hatimae kimemalizika kwa baadhi ya viongozi wa clab hiyo kujiudhuru na baadhi wameonesha awana imani na rais wa timu bwana Josep Bartomeu

Huku sakata la nyota lion messi likizidi kufukuta baada ya kutaka kusitisha mkataba wake natimu zimeanza kufutilia saini yake zikiwemo
Arsenal
Inter millan
Man united
Man city
Psg

Mpaka kufikia sasa ina onesha hame choka kukaa hapa na akuna jipya tulilo buni kwa ajili ya klab ila tunapaswa kuwa wavumilivu mkurugezi mmoja ikiwa ana hojiwa gazeti la Spy news.
