Kuelekea wiki ya mwananchi klabu ya Yanga imetangaza itakipiga na Aigle Noir ya Burundi ila awali ilipanga kucheza timu kubwa za barani Afrika ama sevilla ya Spain.

Baadhi ya wasanii leo wamelipoti ofisi ya klabu kuashilia ushiliki wao katika siku ya Mwananchu na huku Msanii nguli Harmonize akiwa tayari kaachi Ngoma ya Yanga

Pia Yanga sc imetangaza kuanza kuuza Jenzi zake ambazo zitapatika kwenye Shop zote za GSM

Kupata Nyimbo ya
