Hatimae bayern munich kawa bingwa wa champion league kwa mwaka 2019/2020 Baada kutoa vipigo vikali kwa timu kubwa kama Fc Barcelona .Licha PSG kupoteza mechi hiyo ila wanajutia nafasi za wazi ambazo wamekosa mnamo mwa dakika30 za kipindi cha kwanza na dakika 45 za kipindi cha pili .

Buyern walikua wapo vizuri zaadi safu ya kiongu na ushambuliaji ila kama kawaida mkuta wao ungeweza kurusu magoli mengi zaiidi kama washambuliji wa PSG wangetulia

Kwa habari picha zaiidi bonyeza➡http://raboninco.com/1sjvA
Dfl cup
Bundesliga
Uefa Champion

